SPORTS AM 05/01/2020: Yaliyojiri mechi ya watani wa jadi Simba vs Yanga (Maoni, uchambuzi & mjadala)
Mwamuzi mstaafu Osman Kazi amechambua uamuzi na waamuzi wa mchezo huo, huku Amir Mhando na Ramadhan Mbwaduke wakiutazama mchezo wenyewe kifundi. Bosi wa kipindi ni Bin Zubeiry.